Kila bidhaa ya Google
imebuniwa kwa usalama.

Kila siku, mabilioni ya watu hutumia Google kupata maelezo ya kuaminika, kufika wanakoenda, kuwasiliana na wapendwa wao na zaidi. Unapotumia bidhaa na huduma zetu, ni wajibu wetu kuhifadhi taarifa zako binafsi kwa usalama na faragha.

Barua pepe inayohifadhi
taarifa zako za faragha kwa njia salama.
Simu na kompyuta ya kupakata iliyo na Gmail
Usalama ambao hutawahi
kuushuku.
Kompyuta ya kupakata na simu iliyo na Chrome
Gundua ulimwengu,
dhibiti faragha yako.
Simu iliyo na Ramani
Ni wewe unayedhibiti
hali yako ya utumiaji wa YouTube.
Simu na kompyuta ya kupakata iliyo na YouTube
Programu ya Picha kwenye Google, eneo salama
la kuhifadhi kumbukumbu za maisha.
Simu na kompyuta ya kupakata iliyo na programu ya Picha
Mfumo
uliobuniwa kukulinda.
Vifaa vya Android
Njia salama ya Kukutana.
Simu na kompyuta ya kupakata iliyo na Meet
Gundua mbinu nyingi tunazotumia
kuimarisha usalama wako mtandaoni.