Kukusaidia kuweka
sheria dijitali za msingi kwa kutumia Family Link.

Family Link hukusaidia kudhibiti akaunti na vifaa vya watoto wako wanapotumia mtandao. Unaweza kudhibiti programu, kufuatilia muda wa kutumia kifaa na kusaidia kuweka sheria dijitali za msingi kwa ajili ya familia yako.

Weka mipaka
kwa ajili ya familia yako mtandaoni.
Simu inayoangazia jinsi unavyoweka vikomo vya kila siku vya kutumia kifaa kilicho na programu ya Family Link
Je, unahitaji usaidizi kiasi?

Kwa usaidizi kuhusu sheria dijitali za msingi za familia, angalia Mwongozo wetu wa Familia. Ukiwa na vidokezo vya kuanzisha mazungumzo kuhusu teknolojia na watoto wako, wewe na familia yako mnaweza kuvinjari mtandaoni pamoja kwa uhakika zaidi.

Gundua Mwongozo wa Familia
Dhibiti ufikiaji wa maudhui ambayo
watoto wako wanaweza kugundua mtandaoni.
Utumiaji unaofaa familia

Pata maelezo kuhusu jinsi bidhaa za Google zinabuniwa kwa kuzingatia usalama wa familia.