Washirika wetu

Google hushiriki zana na maarifa kuhusu usalama mtandaoni na kampuni zingine, na hufanya kazi na watu binafsi na wamiliki wa tovuti ili kusaidia kuimarisha usalama wa wavuti kwa manufaa ya kila mtu. Pia, sisi hufanya kazi na wataalamu wa usalama mtandaoni na usalama wa familia ili kusaidia kukupa wewe na familia yako nyenzo na ushauri.

Gundua jinsi Google husaidia
kuhakikisha usalama wa kila mtu mtandaoni.