Njia salama ya
Hatua tulizopiga katika kushughulikia usalama mtandaoni
Kipengele cha Kuvinjari Salama hulinda
vifaa bilioni 5,
kikiwemo chako.
Google Play Protect
hukagua programu bilioni 100
kila siku.
Gmail huzuia zaidi ya
majaribio milioni 100 ya wizi wa data binafsi,
kila siku.
-
Kipengele cha Kuvinjari Salama hulinda
vifaa bilioni 5,
kikiwemo chako.
Tunabuni zana za faragha
zinazokupa udhibiti.
zinazokupa udhibiti.
-
Mipangilio ya faragha na usalama iliyo rahisi kutumia, yote katika sehemu moja.
Je, unahitaji usaidizi kiasi?
Fanya ukaguzi.
Fanya ukaguzi.
Ukaguzi wa Usalama
Imarisha usalama wako
Pata mapendekezo yanayokufaa ili uimarishe usalama kwenye Akaunti yako ya Google.
Ukaguzi wa Faragha
Dhibiti faragha yako
Tutakuelekeza hatua kwa hatua kwenye mipangilio muhimu ya faragha, ili uweze kuchagua inayokufaa.
Gundua jinsi Google husaidia
kuhakikisha usalama wa kila mtu mtandaoni.
kuhakikisha usalama wa kila mtu mtandaoni.
Kwenye bidhaa zetu
Pata maelezo kuhusu jinsi usalama wako hulindwa kwenye bidhaa zote za Google.
Usalama na faragha
Pata maelezo kuhusu jinsi Google hulinda taarifa zako za faragha na kukupatia uwezo wa kuzidhibiti.
Usalama wa maudhui
Pata maelezo kuhusu jinsi tunavyowasilisha maelezo ya kuaminika ili kuhakikisha intaneti ni salama kwa wote.
Usalama wa familia
Pata maelezo kuhusu jinsi Google inavyokusaidia udhibiti maudhui yanayofaa familia yako mtandaoni.
Usalama wa mtandaoni
Pata maelezo kuhusu jinsi tunavyohakikisha usalama wa watu wengi zaidi mtandaoni kuliko mtu mwingine yeyote duniani.