Kuhakikisha
Intaneti salama na inayoaminika zaidi.

Leo, tuna timu za Google zinazoshughulikia faragha, usalama, uwajibikaji wa maudhui na usalama wa familia kote duniani. Vituo vyetu vya Uhandisi wa Usalama kwenye Google vilivyo Munich na Dublin, vinasaidia katika kuelekeza kazi hii ya usalama Mtandaoni, vikiongozwa na timu za wahandisi, wataalamu wa sera na wataalamu wa maudhui wenye uzoefu.

Kituo cha Munich
GSEC Munich

Kituo chetu cha Munich kinashughulikia kimahususi uhandisi wa usalama na faragha.

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kufanya hivyo
Kituo cha Dublin
GSEC DUBLIN

Kituo chetu cha Dublin kinashughulikia kimahususi uwajibikaji wa maudhui.

Gundua jinsi ya kufanya hivyo
Jengo la kisasa, la kijivu lenye madirisha makubwa.
GSEC Málaga

Kituo chetu cha Málaga kinashughulikia kimahususi usalama wa mtandaoni.

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kufanya hivyo
Mtazamo wetu kuhusu
uhandisi wa usalama.

Tunazungumza na watu kote duniani ili tufahamu hofu yao kuhusu usalama kwenye Intaneti. Tunazipa timu zetu za wataalamu fursa, uhamasisho na usaidizi ili kubuni masuluhisho mapya ya kusaidia kuboresha usalama mtandaoni.

Kufahamu

Tunauliza maswali na kusikiliza maoni ili tuelewe matukio ya sasa na ya baadaye yanayotishia usalama kwenye Intaneti

Kusanidi

Tunasanidi masuluhisho mapya na yanayofaa ya uhandisi ili kukabili matatizo haya

Kuwezesha

Tunawezesha watu kujilinda kupitia zana, nyenzo na mikakati

Kushirikiana

Tunashirikiana na watunzi wa sera ili kushiriki maarifa na kukabili matatizo changamano

Uboreshaji wa usalama mtandaoni

Pata maelezo kuhusu jinsi tunavyohakikisha usalama wa watu wengi zaidi mtandaoni kuliko mtu mwingine yeyote duniani.